Huyu ni Nabii Titto.Nabii Titto yeye anahubiri matumizi ya pombe kwa kutumia Biblia,anasema kuwa mungu ameruhusu watu wanywe pombe kwani ni tiba sahihi kwa magonjwa mbalimbali .Alikuja ofisini kwangu ili nimsaidie kurekodi kanda na cd mbalimbali zitakazomafanya watu mbalimbali duniani kupata neno lake na kunisihi sana na kuniambia nikubali kwani ilo ndio ombi mungu alilomtuma kwangu.Mimi sikumkubalia ombi lake kwani ninavyoamini mimi na imani yangu ni vitu viwili tofauti.Je Wadau mnasemaje kuhusu Nabii Titto
jamani ndo hivyo
huyu jamaa kama sio laana basi kichwa kishaharibika..lakini zaidi ni kazi ya shetani..hawezi kuwa serious...hhhahahahah
ReplyDelete