
Baada ya kupokea kipigo cha aibu kutoka kwa wigan jana, kocha wa arsenal, arsen wenger amewapoza mashabiki wa timu hiyo iliyokosa muelekeo kuwa Mmoroko Chamakh atatua Arsenal mara baada ya msimu kumalizika.
ZIADA YA ISHU ZA KIBONGO,ZA KIMAMTONI NA ZOZOTE ZINGINE HAPA NDIPO PENYEWE http://mazimu11.blogspot.com/ PHONE: 0756000844 and 0655080066 MAIL; masanja80@yahoo.com
jamaa katuchosha..kombe lilikua letu hili..tunahitaji mabeki na goalkeeper..tusipochukua next season na yeye(wenger)aondoke
ReplyDelete