Friday, April 9, 2010

sikujua what is happening btn these people



Ilikuwa hivi ...sikuona jipya



Ikaja hivi, mbona poa hamna mbaya



mh baadae hivi, moyo ukaanza kwenda mbio kidogo



Ilipokuja hapa, nikasema labda??mapigo ya moyo na damu ikagoma kusafiri




eeh ilipofikia vihi,nikaacha kupiga picha nikawauliza kulikoni wenzangu?
ah mh kumbe nothing chaendela zaidi walikuwa wanamsimulia mtu stori flan, kwa hiyo walikuwa wanajaribu kumuonyesha na vitendo kabisa ili aelewe. Mlinishtua lakini wajameni


2 comments:

  1. mbona kama huyo mwanaume anataka kumpumulia mwenzake?

    ReplyDelete
  2. hii sio hali ya kwawaida bwana hao lazimi ni bibi na bwana mana haiwezekani waangaliane kwa matamanio kihivyo

    ReplyDelete