GODFREY BATESANYUKI MAXMILLIAN
Wadau wote wa blog hii,wanatoa pole nyingi kwa familia, ndugu na jamaa wa Max kutokana na kifo cha shujaa huyu aliyekuwa anasoma mwaka wa tatu(BA_AF) katika chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara(MUCCOBS)... Amefariki dunia may 14/2010 kwenye Hospitali ya Muhimbili Dar es salaam baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu......Mungu aiweke roho ya marehemu Maxmahali pepa peponi ...AMEN
No comments:
Post a Comment