Jamaa anapiga buk pale Chuo Kikuu kishiriki cha Ushirika na Biashara,Muccobs,Abutwalib Kilimba.... wanamfahamu sana kwa jina la Abuu, nahodha wa timu ya soka ya Chuo hicho,akileta vikombe kadhaa chuoni hapo kwa kipindi cha miaka mitatu tangu achukue mikoba ya kukiongoza kikosi cha chuo.Leo anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake...Hapy B'day broda..najua mavyuku yatamwagika sana kitaa na hata hapo chuo ukiwa na wanao Channel 10...kuwa uyaone...
Monday, May 31, 2010
GURU AWAPATANISHA BERRY WHITE NA BERRY BLACK...MSIKIE HAPA
“Juzi nashukuru mungu nimeweza maliza tofauti kati ya Berry White na Berry Black kwa kuwakutanisha tena katika uzinduzi wa album ya berry black (nafsi yako) na album ya chege (karibu kiumeni) bif ilidumu tokea mwaka 2006 walipotoa wimbo wa mwisho ulioitwa na wewe tu ft. Shirko
Kwa sasa wapo peace lakini watabaki kila mmoja akifanya kazi kivyake na wanaweza shirikiana,so 2 berry haipo tena watabaki kutumia majina yao b white au b black
Walikuwa hawasalimiani kabisa na walikuwa kama chui na paka kwa sasa kama mnavyoona katika pics wapo peace kabisa
Nawashukuru sana na Amani idumu baina yao Inshallah
Kuendeleza Zenji Fleva.
Kwa sasa wapo peace lakini watabaki kila mmoja akifanya kazi kivyake na wanaweza shirikiana,so 2 berry haipo tena watabaki kutumia majina yao b white au b black
Walikuwa hawasalimiani kabisa na walikuwa kama chui na paka kwa sasa kama mnavyoona katika pics wapo peace kabisa
Nawashukuru sana na Amani idumu baina yao Inshallah
Kuendeleza Zenji Fleva.
NAJMA AMPA SHAVU FID Q
Jamani kuna jambo nimelipata kwa mtu wangu Dj choka, ambaye Muda mfupi uliopita alichat na Najma, msanii mwenye kipaji cha kuimba na swaggar zote za urembo anazo, story zilikuwa kibaoooooo lakini aliamua kumuuliza maswali 4 tu ili mashabiki wake wajue kama binti huyu anahasira ya mziki. Pia akamwambia anarudi nyumbani bongo ila akuniambia ni lini. Na hii ni moja ya vijimaswali alivyokuwa anaulizwa na Choka. 1. Toka umetoa single yako na Mr. Blue na ukaenda masomoni UK nini kinafuata baada ya hapo.
The next step for me is to release one of my songs which are not sure just as yet, and to complete my album!
2. Uko masomoni unasoma high xcul or university At the moment niko college nikisomea Art and Design Fashion/Textiles
3. Unampango wowote wakufanya Record yoyote ulaya? Kufanya Record ulaya in the future is a definitely yes kwasababu as artist kitu kimoja you always want is to expand into something even better. But kwasasa hivi am really happy at MJ Records!
4. Unajisikiaje kufanya kazi na Fid Q coz umeimba vizuri sana kwenye wimbo wake huu wa NGOSHA THE SWAGGAR DON Working with Fid Q is definitely an hon our, kwasababu he's very passionate at what he does as well as very good at it! And to be honest, I was really flattered when he said alitaka kufanya kazi na mimi! yuko very down to earth and fun to work!
Saturday, May 29, 2010
BANZA YUKO KWA KAMETA KUTENGENEZA DUDE LA KIKWETE
Msanii mahiri wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani Masanja almaarufu kama Banza Stone yuko kwa studio za kameta kuandaa "goma"maalumu kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu ujao, akimpamba Rais jakaya Kikwete na Chama cha mapinduzi.
Nilizungumza na Banza akaniambia wimbo huo ukishakamilika utapelekwa kwa mwenye nchi tayari kwa ajili ya kazi za kisiasa
Friday, May 28, 2010
NDOTO ZA JUNI 7, STARS VS BRAZIL
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, taifa stars, wamesema wataushangaza umma kwa kukisimamisha kigogo cha soka duniani,Brazil, katika mchezo dhidi ya timu hiyo, utakaopigwa juni 7 mwaka huu kwenye dimba la taifa jijini Da es salaam.Wakizungumza mara baada ya Rais wa Shirikisho la soka Nchini,TFF, Leodiger Chila Tenga kuthibitisha ujio wa timu hiyo inayoelekea nchini Afrika kusini kwenye fainali za kombe la dunia, vijana hao wa Mbrazil Marcio Maximo wamesema watahakikisha wanafanya kila linalowezekana kuwatia aibu wakali hao wa soka la dunia wanaoongozwa na nyota kibao kama Kaka,Robinho,Alves,Gilberto Silva, Elano na Maicon.
BOBAN ATINGA UBALOZINI SWEDEN
Kaimu balozi wa Tanzania nchini Sweden,Mh Victoria Mwakasege(katikati)akiwa na Haruna Moshi"Boban"kushoto na Afisa wa ubalozi huo, Yusuph Mndolwa.
Kaimu balozi wa Tanzania nchini Sweden,Mh. Victoria Mwakasege akiwa na Haruna Moshi"Boban" pamoja na Afisa wa ubalozi huo,Jacob Msekwa.Boban anachezea timu ya Gefle IF ya ligi kuu ya Sweden akiwa mtanzania wa kwanza kufanya hivyo,wiki hii aliutembele ubalozi wa tanzania nchini humo, ambapo kaimu balozi alimtaka kuwapigia pande na wenzake wakakipige huko Ulaya.
Taarifa zaidi cheki na Michuzi.
Thursday, May 27, 2010
JAMANI KAMA NAUMWA LEO
Jamani kama najisikia vibaya kidogo.....ngoja niende hospital...tutachekiana kesho.....poleni sana
Wednesday, May 26, 2010
ESTAAM BAADA YA KIMYA KINGI KUWASHIKA TENA
Estaam baada ya kimya kingi sasa amerudi tena na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la MWISHO WAO akiwa amemshirikisha Q.Jay, Steve RnB & Belle 9. Amesema wimbo huo umetengenezwa katika studio inayoitwa Sei Record iliyopo Kinondoni Studio.Estaam anasema ataanza na Audio kwanza halafu baadae ndio Video itafuata,so mafuns wategemee kitu kizuri na sasa hivi anasema atakuwa anaachia singo tu ila mpango wa album hayuko tayari kwa sasa.
Asante kwa Dj Choka
KWEA PIPA YAELEKEA UKINGONI WENGINE WAPATA TIKETI
Huyu ni mmoja kati ya washindi watatu wa Tiketi za kwenda sauzi kushuhudia mechi ya kombe la dunia kati ya brazil na Ureno kupitia promosheni ya Kwea Pipa na coca cola,Stanley Yona akikabidhiwa mfano wa tiketi hiyo na Josph Simplis mratibu wa mauzo Kilimanjaro , katika hafla fupi iliyofanyika jana kwenye kiwanda cha Bonite mjini Moshi. Wengine waliopata tiketi ni Aman mwafole,na Andrea Marandu wakati aliyejishindia TV ni Mohamed Seif toka Singida.
Mshindi wa TV, Mohamed Seif kutoka Singida akikabidhiwa TV aliyojishindia na Mr Kimei, msimamizi wa MAUZO kutoka Bonite.
Meneja wa Kiwanda cha Bonite,Gilbert Uisso, akiwaasa wale walioshinda na kukaa na visoda wawasilishe visoda vyao kiwandani, kwa ajili ya kuandaliwa safari ya kwenda Sauzi kwa wale wa tiketi ama wapewe zawadi zao za TV..maana mwsho ni saa sita usiku may 31 mwaka huu.
Mameneja mauzo wa kiwBonite,Haji Khatibu wa eneo la Marangu na Mwenzake wa eneo la bomang'ombe,George Damian, pia walikuwepo katika halfa hiyo ya kuwakabidhi tiketi na Tv washindi wa promosheni ya "kwea pipa "na Coca Cola mjini Moshi.
Tuesday, May 25, 2010
KIKWETE ANAINGIA MOSHI JIONI LEO KWA ZIARA
Rais Jakaya Kikwete, kesho anatarajia kufungua kituo cha polisi cha kata ya Ukaoni Kibosho, wilayani moshi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku moja mkoni Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya mkuu wa Mkoa, rais Kikwete pia atafungua tawi jipya la benki ya CRDB huko Marangu mtoni, kabla ya jioni kurejea jijini Dar es salaam.
Taarifa hiyo pia inaonyesha rais Kikwete aliewasili jioni leo, angewakabidhi vyeti kwa wananchi waliochangia fedha kwenye harambee ya CCM, iliyofanyika jijini Dar es salaam mapema mwezi huu, na kupatikana sh. mil 200.
Zoezi hilo linafanyika kweye ikulu ndogo ya raisd iliyoko Moshi.
BRAZIL KUKIPIGA NA STARS JUNI 2 MWAKA HUU
Kiungo wa Brazil, kaka.
Timu ya Taifa ya Brazil inataraji kutua nchini wakati wowote kucheza mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa na timu ya Tifa, Taifa Stars imefahamika.Habari kutoka tovuti ya Shirikisho la Michezo Brazili inasema timu hiyo itachezo mchezo huo kabla ya kwenda Afrika Kusini kushiriki kombe la Dunia na mchezo huo utapigwa Jumanne Juni 2 2010 katika Uwanja wa taifa Dar es Salaam. Brazili pia itachezo mchezo kama huo na Zimbabwe. Watanzania watapata fursa ya kuwaona wachezaji maarufu duniani kama Kaka
Habari kamili ingia www.supersport.com
VIDEO YA "TUNAPANDA" YA TIP TOP KUTOKA WAKATI WOWOTE
HUU mjengo ulitumika pia katika hataraki za kushut video hii,iliyoshutiwa wik end hii huko Dar. Hii ni Kunduchi Hotel.
Madee na Keisha,wasanii wa Tip Top
Monday, May 24, 2010
SAFARI YA SEEMAN NA PULIS MLIMA KILIMANJARO
Msafara wa watu 14,walioambatana na kipa wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya uingereza,David Seeman,pamoja na Kocha wa Stoke City,Tony Pulis walokuwa nchini Tanzania, kupanda mlima Kilimanjaro.
KOCHA wa klabu ya Stoke City inayoshiriki Ligi Kuu ya England, Tony Pulis, akiwa na baadhi ya wachezaji wa timu ya Zara Tours ya Moshi, wakiongozwa na Nasoro Chuji(mwenye kijani), mmoja wa nyota walioichezea timu ya daraja la kwanza ya Nyerere ya mkoani Kilimanjaro.
"Dole tupu", karibu chaiiiiiiiiiiiiiiii
Hili baridi noma..kama kule Himalaya!! Jamaa wamepozi kwenye moja ya sehemu za kupumzikia huko Mlimani.
Kocha wa Stoke,Pulis akikabidhi kikombe cha ubingwa wa kombe la Karibu fair, kwa nahodha wa timu ya Zara Tours ya Moshi,baada ya kuunyakuwa ubingwa huo katika mashindano ya mwaka jana yanayoshirikisha timu zinazowahusisha wafanyakazi wa sekta ya utalii hususani wanaoshiriki kuwapandisha watalii mlimani
Timu ya Zara Tours katika pozi pamoja na kipa wa zamani wa Arsenal, David Seeman(mwenye shirt nyeupe)mara baada ya kukabidhiwa kikombe na Pulis.
Hapo hamna zile pombe za kwetu.....naniii niii ni madude tu ya mbele Wisky,kompikax,...teh teh
Hawa jamaa zangu nao walijipenyeza kutandikwa picha na Kina Seema,kulia ni mwana Blog ya Busagaga.blogspot.com,Dixon Busagaga,Seeman,Hecton Chuwa,mwandishi wa magazeti ya Busness Times,Tony Pulis na mwakilishi wa Star TV na Radio free Afrika.
Kwa mujibu wa Meneja wa Kampuni ya utalii ya Zara Tanzania Adventure, Yasin Mohamed Yasin, lengoni kuchangisha kiasi cha paundi 100,000 (sawa na dola 150,000) kwa ajili ya watoto hao. Kabla ya kuanza kupanda mlima huo, Pulis alisema licha ya kuwepo kwa vikwazo vidogo kama hali ya hewa.
Watu maarufu kutoka sehemu mbalimbali duniani wamekuwa wakipanda mlima huu na hii ni mara ya pili kwa wachezaji na viongozi wa soka kupanda mlima ambapo mapema Septemba mwaka jana bilionea wa Kirusi na mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich alifanikiwa kupanda mlima huo na kuishia katika kituo cha barafu.
KOCHA wa klabu ya Stoke City inayoshiriki Ligi Kuu ya England, Tony Pulis, akiwa na baadhi ya wachezaji wa timu ya Zara Tours ya Moshi, wakiongozwa na Nasoro Chuji(mwenye kijani), mmoja wa nyota walioichezea timu ya daraja la kwanza ya Nyerere ya mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya "mapota"waliowapandisha kina Seeeman, wakiwa njiani kuelekea Kileleni mwa Mlima Kilimanjaro.
"Dole tupu", karibu chaiiiiiiiiiiiiiiii
Hili baridi noma..kama kule Himalaya!! Jamaa wamepozi kwenye moja ya sehemu za kupumzikia huko Mlimani.
Kocha wa Stoke,Pulis akikabidhi kikombe cha ubingwa wa kombe la Karibu fair, kwa nahodha wa timu ya Zara Tours ya Moshi,baada ya kuunyakuwa ubingwa huo katika mashindano ya mwaka jana yanayoshirikisha timu zinazowahusisha wafanyakazi wa sekta ya utalii hususani wanaoshiriki kuwapandisha watalii mlimani
Timu ya Zara Tours katika pozi pamoja na kipa wa zamani wa Arsenal, David Seeman(mwenye shirt nyeupe)mara baada ya kukabidhiwa kikombe na Pulis.
Hapo hamna zile pombe za kwetu.....naniii niii ni madude tu ya mbele Wisky,kompikax,...teh teh
Hawa jamaa zangu nao walijipenyeza kutandikwa picha na Kina Seema,kulia ni mwana Blog ya Busagaga.blogspot.com,Dixon Busagaga,Seeman,Hecton Chuwa,mwandishi wa magazeti ya Busness Times,Tony Pulis na mwakilishi wa Star TV na Radio free Afrika.
Eti hapa ndipo alipolala Seeeman......
Kastori kadogo haka hapa:
KOCHA wa klabu ya Stoke City inayoshiriki Ligi Kuu ya England, Tony Pulis, mchekeshaji maarufu katika runinga, Nick Hancock,na kipa wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Uingereza, wakiwa katika msafara wa watu 14 walitua nchini jumatano ya may 19 na kuanza kupanda Mlima Kilimanjaro siku hiyohiyo. Wakashuka Jumamosi usiku na kufikia katika Hotel ya Spring Land.
Safari yao ya kupanda mlima imewezeshwa na Kampuni ya Utalii ya Zara Tanzania Adventure, ambao waliwapandisha mlima, lakini lengo lao lilikuwa ni kuchangisha fedha kwa ajili ya kituo cha watoto cha Donna Louise Hospice cha nchini Uingereza.
Kwa mujibu wa Meneja wa Kampuni ya utalii ya Zara Tanzania Adventure, Yasin Mohamed Yasin, lengoni kuchangisha kiasi cha paundi 100,000 (sawa na dola 150,000) kwa ajili ya watoto hao. Kabla ya kuanza kupanda mlima huo, Pulis alisema licha ya kuwepo kwa vikwazo vidogo kama hali ya hewa.
Watu maarufu kutoka sehemu mbalimbali duniani wamekuwa wakipanda mlima huu na hii ni mara ya pili kwa wachezaji na viongozi wa soka kupanda mlima ambapo mapema Septemba mwaka jana bilionea wa Kirusi na mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich alifanikiwa kupanda mlima huo na kuishia katika kituo cha barafu.
Sunday, May 23, 2010
TWIGA STARS YAIRARUA ERITREA 8-1
Mechi kati ya Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania,Twiga Stars na ile ya Eritea imemalizika dk mbili zilizopita, na Twiga stars imeirarua Eritrea 8-1 katika mchezo wa kuwania kufuvu fainali za mataifa ya Afrika kwa upande wa wanawake zitakazopigwa huko Afrika Kusini.Mechi ya marudiano itapigwa wiki mbili zijazo huko Eritrea, bila shaka Twiga stars itashinda tena na kufanikiwa kutinga huko Sauz....Mungu umekuwa mwema kwetu safari hiiiiii.... Asante sana mashosti wetu
MILITOOOOOOOOOOOOOOOOO
Militooooooooooooooooooooooooooooooo....ni baadhi ya mashabiki wa kibongo wa Inter wakishangilia bao la pili la timu hiyo lililowekwa kimiani na Diego milito kwenye mchezo w aligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya buyern Munich uliopigwa katika dimba la santiago bernabeu mjini madrid nchini hispania.Inter iliyo chini ya Maourinho iltwaa kombe hilo kwa ushindi wa 2-0, magoli yote akifunga Milito.
NIMEAMINI KWELI WE NI SPECIAL ONE
Javier Zanetti, naodha wa inter akinyanyua kombe la mabingwa ulaya hapo jana.
Wachezaji wa inter wakiwa na bango la kocha wao,Jose Mourinho(Special one) mara baada ya kuibanjua Buyern munich 2-0 katika mchezo wa fainli ya ligi ya mabingw abarani Ulaya hapo jana.
Mshabiki wa Inter akilibusu kombe la mabingwa
Friday, May 21, 2010
SIKUPATA TUZO KWA SABABU MUNGU HAKUPANGA
Asiyekubali kushindwa si mshindani...vijana hawa wanaotamba kwa sasa kwenye game ya Bongo flava..Amini na Barnaba...asubuhi hii ya leo may 22 ndani ya TBC wamekiri tuzo za mwaka huu zimeboreshwa sana, na walioshinda walistahili, wao wanajipanga mwakani watwae tuzo zote zitakazoandaliwa.Wanasema mungu hakupanga wao wapate tuzo za mwaka huu.Vijana hao watapiga show Miss Tabora, may 28. Lakini pia watafanya onyesho kwenye shindano la RBP Dar Inter College litakalofanyika Mei 27 kwenye ukumbi wa Billicanas...ambapo wanasema watapiga nyimbo ampya katika albamu yao ya pamoja ambazo hazijawahi kusikika radioni.
NI INTER VS BUYERN LEO BERNABEU
CHAMAKH ATUA RASMI ARSENAL...APEWA JEZI NO. 29
Huyu ni dogo wa kimorocco, aliyekuwa Bodoo ya ufaransa ametua rasmi Arsenal kwa uhamisho huru, na anasema lazima Arsenal itwae kombe msimu ujao...mh wenzako tumesubiri kwa misimu mitano hollaaaaaa...lakini karibu utoe changamoto za Kiafrika
UKWELI KUHUSU CHAMAKH
Full Name:Marouane Chamakh
Nationality:Moroccan
Born:January 10 1984, Tonneins, France
Age:26
Previous Clubs:Bordeaux (2002-2010) 293 appearances (79 goals)
Club Honours: Ligue 1 Champions: 2008/09Coupe de la Ligue: 2007, 2009Trophee des Champions: 2008, 2009
Transfer Details: Joins Arsenal on a long-term contract
Position: Forward
Arsenal Squad Number:29
International Honours: Morocco (2003-Present) 53 appearances (27 goals)
International Debut: Morocco v Sierra Leone, June 13 2003
Full Name:Marouane Chamakh
Nationality:Moroccan
Born:January 10 1984, Tonneins, France
Age:26
Previous Clubs:Bordeaux (2002-2010) 293 appearances (79 goals)
Club Honours: Ligue 1 Champions: 2008/09Coupe de la Ligue: 2007, 2009Trophee des Champions: 2008, 2009
Transfer Details: Joins Arsenal on a long-term contract
Position: Forward
Arsenal Squad Number:29
International Honours: Morocco (2003-Present) 53 appearances (27 goals)
International Debut: Morocco v Sierra Leone, June 13 2003
THE ORIGINAL COMED KAZINI
NGASA KAMA RONALDO MCHEZAJI GHALI TANZANIA
Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa timu ya Yanga Mrisho Ngasa amenunuliwa na timu ya Azam FC ambayo pia inashiriki ligi kuu nchini kwa dau la milioni 58, mwaka huu timu hiyo imekamata nafasi ya tatu, Ngasa anaweza kuwa mchezaji ghali zaidi kama hakutatokea mchezaji mwingine kununuliwa kwa dau kubwa kama hilo.Awali mchezaji ghali alikuwa Juma Kaseja(Simba) katika uhamisho wake kwenda Yanga msimu uliopita ambapo aliigharibu Ynaga karibu milioni 30.
Hii ni hatua kubwa kwa Ngasa kama ana nia kweli ya kwenda kukipiga ughaibuni, maana Azamu alipo wakala wake Bakhresa ni rahisi kutoka..angebaki yanga..hawauzagi Ulaya wale amuulize Jerry Tegete kilichomkuta.
DOKII"SUPRISE" ACHENI KUCHONGA NA IMANI YANGU
Dokii
Natumai hujamsahau. Jina lake halisi ni Ummy Wenceslaus.Kwa mashabiki wa sanaa ya uigizaji ukimtaja kwa jina la Dokii watakuelewa kirahisi zaidi. Enzi za kikundi cha uigizaji cha Mambo Hayo, Dokii alijizolea umaarufu kwa jinsi alivyoweza kuigiza katika lafudhi ya kiswahili cha nchi jirani ya Kenya.Ilifikia mahali wengine wakaamini kabisa kwamba Dokii ni Mkenya!
Baada ya hapo,kimya kilitanda.Dokii akabadili uelekeo wa maisha baada ya “kujisalimisha kwa Bwana”.Akahamia kwenye muziki wa injili ambapo hakuna uhakika sana kuhusiana na kutamba au kutokutamba kwake. Binti huyu amerejea tena kwenye tasinia ya filamu...anasema hakufuata maslahi katika injili bali imani yake tu...na yuko huru kuendelea na ishu za filamu ACHENI KUCHONGA.
Baada ya hapo,kimya kilitanda.Dokii akabadili uelekeo wa maisha baada ya “kujisalimisha kwa Bwana”.Akahamia kwenye muziki wa injili ambapo hakuna uhakika sana kuhusiana na kutamba au kutokutamba kwake. Binti huyu amerejea tena kwenye tasinia ya filamu...anasema hakufuata maslahi katika injili bali imani yake tu...na yuko huru kuendelea na ishu za filamu ACHENI KUCHONGA.
MAIMARTHA NA BENY KINYAIYA NDANI YA TBC
Watangazaji hawa waliokuwa EATV,Maimartha Jese na Beny Kinyaiya wenye Mic wataanza kuonekana kuanzia wiki ijayo katika kipindi flan kitakachokuwa cha mseto....hapa walikuwa wakirekodi kipindi pamoja na mcheza filamu, Sajuki na mwanamuziki Khalid chokoraa...dah kama bao flani hivi...ngoja tuone hiyo next wik....je hiyo show itaipiku Afro bit waliokuwa wnaifanya EATV?
TIP TOP INAHITAJI MABINTI WA KUWA KWENYE VIDEO YAO MPYA.
TipTop Connetion jumapili ya wiki hii watakuwa wanafanya video yao mpya inayokwenda kwa jila la BADO TUNAPANDA. Nimezungumza na Babu Talle ameniambia wanahitaji mabinti wengi kwaajili yakunogesha video hiyo, wanataka sura mpya na sio walewale wanaozungukazunguka kwenye video za wasanii wengine.
Kwa maelezo zaidi tuchekiane kupitia namba hii+255 715 727873.
Thanx broda angu Dj choka kwa hili jambo....
KUMBUKUMBU YA MV BUKOBA...MAY 21/1996
Makaburi ya pamoja ya ndugu zetu...Igoma-Mwanza
Meli Ya MV Bukoba...ikizama Ziwa Victoria,Miaka 14 iliyopita!
Mnara wa Kumbukumbu...
Leo imetimia miaka 14 tangu itokee ajali ya MV Bukoba,tar 21 May 1996 ktk Ziwa Victoria.Iliyoua Ndugu,Jamaa na Watanzania wenzetu zaidi ya 1,000 na kupotea kwa mali zao pia....REST IN PEACE...WOTE MLIOTUTOKA,MOURN TILL WE JOIN YOU!!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)