Tuesday, June 1, 2010

B'DAY YA ABUU WATU WAJIMWAYA MBAYA!


Ilibidi jamaa ajishikie kipande kimoja mkononi kingine alishwe na alivyokiona kidogo akaomba kwa mineno hii 'msishangae me nakula keki kubwa kwa sababu ni rafiki yake wa karibu", Baraka Urio a.k.a Muba.

Kuanzia kulia ni Mullah,Muba,Abuu,Shamte akichungulia kitanga,Bwanga ama Bwax,Tolu Mnyama na Machui wakiwa katika pozi flan hivi kujiandaa na kula keki.

Bahati & Abuu

Shemeji zangu hawa....kushoto Bahati kulia Pauline, pamoja na Mzazi Lugano hapa ni muda mfupi baada ya kupigwa kwa vyuku na mbuzi mtaani wakirejea machuo...Muccobs.

Hii ni room no. 226 Maarufu kama Channel 10 pale chuo Kikuu cha Ushirika moshi,MUCCOBS,i lijaa wana waliokuwa wakimpa shavu "mtoto" Abuu kwa kuzaliwa upya.

Ilikuwa keki ya mfano na ya kipekee,i hope unaiona mwenyewe

No comments:

Post a Comment