Acudo Impact wazee wa masauti bwana walifanya mambo makubwa sana pande za moshi, ilikuwa Aventure Club Africa usiku wa kuamikia leo, show ilianza saa tatu flan hivi licha ya lijimvua na kukatika kwa umeme kutaka kuharibu show, wachaga na sii wakuja tuishio huku moshi, tukaona isiwe tabu tukachukua mijitax na mijigari yetu tukajitoma Aventure.
Show ikaenda sawa, watu walijaa na kuinjoy vya kutosha, ndugu zetu wa Tanesco wakaturudishia umeme wetu muda mfupi baadae, na jamaa wakasevu mafuta ya jenereta.
Ila ishu ikaja kama kuharibika hiv mwishoni mwa show, baada ya marapa mahiri wa bendi hiyo,
canal top na totoo ze bingwa kuchapana na kusabaisha canal kuvunjika mkono...so soooory canal

Ramadhan Masanja a.k.a Banza ama masanja seniour kushoto akiwa na Masanja Jr ndani ya studio za Moshi fm, kilimanjaro. Huyu ni mtu na mdogo wake....

Presenter wa Moshi fm Masanja Jr kushoto na rapa mahiri wa acudo Impact na nominee wa kili award this year,Totoo ze Bingwa

Mwimbaji wa Acudo Impact Tarsis Masela akiwa katika poooz na presenter wa Moshi fm masanja jr kabla ya kuanza kwa interview kwa ajili ya show ya ijumaa kuu ndani ya Aventure Africa moshi.

Tarsis, Banza, masanja jr na Totoo ze bingwa wakimsikiliza presenter upande wa pili wa studio za moshi fm.

Banza mtoto wa Bit jeberi, akihojiwa na mtangazaji Ntory mayombola, ambaye haonekani pichani

Banza, Masela na Totoo ze bingwa

Huyu dada alitia fora, kwanza wezere, pili kivazi, tatu jiumbo...mh kweli alikwenda show, akacheza show...aka..ka..aka... na kuk...ka...ti...ka katikatikati...alitishaaaa ukumbini kwa kila kitu.... nina clip yake jamani...anaetaka anicheki katika
masanja80@yahoo.com
christian bella katikati akiongoza mashambulizi jukwaani

Inadaiwa mwishoni mwa show, Rapa huyu mahiri wa acudo Canal top, alivunjika mkono baada ya kutokea vurumai kati yake na Totoo za bingwa. Kisa mh.....sijui labda nanii..lakini yadaiwa ni ishu zao za kuraprap, mara huyu anaiingilia nikirap mara huyu anajiona mkali kuliko mwengine, mara oh ilimradi tu yakatokea yakutokea pale Aventure.

Shemeji yatu (mwenye red) akiwajimwaya na wanazi wengine wa Acudo
Kaka yake banza katikati Hamisi masanja pia alikuwepo Aventure